logo
swahili
Vatican: Papa Francis kutoa baraka za Pasaka
Papa Francis, mwenye umri wa miaka 88, aliruhusiwa kutoka hospitali ya Gemelli, Jumapili iliyopita, baada ya kuwa amelazwa tangu Februari 14, 2025, akisumbuliwa na maradhi ya homa ya mapafu.
Vatican: Papa Francis kutoa baraka za Pasaka
“Marufuku NGOs kushirikiana na Ubelgiji”, Rwanda yaonya
Hatua hiyo ni muendelezo wa dosari ya mahusiano kati ya nchi hizo mbili hasa baada ya Rwanda kusitisha uhusiano wake na Ubelgiji mwezi mwaka huu.
“Marufuku NGOs kushirikiana na Ubelgiji”, Rwanda yaonya
Siasa za Sudan Kusini: Ni nani Riek Machar?
Hali ya hofu imetanda nchini Sudan Kusini na majirani huku ripoti kutoka nchi hiyo zikiashiria kuzuiliwa na maafisa wa usalama kwa Makamu wa Rais Riek Machar
Siasa za Sudan Kusini: Ni nani Riek Machar?
Rais Erdogan, Sheikh Mohamud wakutana jijini Ankara, wajadiliana masuala ya ushirikiano
Katika kikao hicho, Rais Erdogan alisisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya Uturuki na Somalia katika nyanja za kiuchumi, biashara, ulinzi na usalama.
Rais Erdogan, Sheikh Mohamud wakutana jijini Ankara, wajadiliana masuala ya ushirikiano
Maoni
Kenya kuchunguza madai ya kipa kupanga mechi
Shirikisho la soka la Kenya (FKF) limeanzisha uchunguzi kuhusu madai ya upangaji mechi dhidi ya golikipa wa timu ya taifa Harambee Stars na timu ya Kakamega Homeboyz Patrick Matasi.
Kenya kuchunguza madai ya kipa kupanga mechi
Habari zaidi
Michezo
Wako wapi wachezaji wa Kiafrika waliong'aa enzi zao katika ligi ya NBA ya mpira wa kikapu?
Wako wapi wachezaji wa Kiafrika waliong'aa enzi zao katika ligi ya NBA ya mpira wa kikapu?
Tuangalie baadhi ya wachezaji wa Kiafrika ambao walikuwa kwenye ligi ya NBA, tupate kufahamu wako wapi sasa hivi.
Kionjo cha TRT Global. Tupe mrejesho wako.
Contact us