Maoni
Kutimuliwa kwa Rasool Marekani kulipangwa na serikali ya Trump
Kwa kumfukuza Rasool, serikali imetuma ujumbe wa wazi: kuwa haitokubali mtu anayewakosoa, na kwamba wale wanaokataa kufuata msimamo wao watakabiliana na hatua kali dhidi yao.Kwa kumfukuza Rasool, serikali imetuma ujumbe wa wazi: kuwa haitokubali mtu anayewakosoa, na kwamba wale wanaokataa kufuata msimamo wao watakabiliana na hatua kali dhidi yao.