Maoni
Raia wataka agizo la rais Tinubu la ''sasa imetosha" kuashiria utekelezaji katika kuleta usalama
Nigeria inakabiliana na ukosefu wa usalama huku magenge yenye silaha yakiteka watu na makundi ya magaidi yakiendelea kufanya mashambulizi.Nigeria inakabiliana na ukosefu wa usalama huku magenge yenye silaha yakiteka watu na makundi ya magaidi yakiendelea kufanya mashambulizi.