Dondoo za TRT Afrika | 23 MeiDondoo za TRT Afrika | 23 Mei
Tanzania yamuachilia mwanaharakati wa Uganda Agather Atuhaire saa chache baada ya kumuachilia mwanahrakati wa Kenya Boniface Mwangi, Bunge la Seneti la DRC lamuondelea kinga aliyekuwa rais wa nchi Joseph Kabila kwa madai ya kuunga mkono kundi la M23.Tanzania yamuachilia mwanaharakati wa Uganda Agather Atuhaire saa chache baada ya kumuachilia mwanahrakati wa Kenya Boniface Mwangi, Bunge la Seneti la DRC lamuondelea kinga aliyekuwa rais wa nchi Joseph Kabila kwa madai ya kuunga mkono kundi la M23.
Vichwa vya habari:
Tanzania yamuachilia mwanaharakati wa Uganda Agather Atuhaire
Bunge la Seneti la DRC lamuondelea kinga aliyekuwa rais wa nchi hiyo Joseph Kabila kwa madai ya kuunga mkono kundi la M23
Marekani kuiwekea Sudan vikwazo kwa madai ya matumizi ya silaha za kemikali
Trump yakizuia Chuo Kikuu cha Havard kusajili wanafunzi wa kimataifa
Mkuu wa WHO aiomba Israeli kuonesha huruma