Vichwa vya habari:
Baadhi ya vijana nchini Uganda wamezindua kamapeni maalum kumuaga Rais Museveni
Mazungumzo ya kusitisha vita kati ya Ukraine na Urusi yaendelea Uturuki
Wapalestina wasiopungua 136 wameuawa Gaza katika mashambulizi ya anga ya Israel siku ya Alhamisi
Marekani inasema Syria yenye amani na utulivu inaweza kubadilisha eneo hilo
Timu ya Barcelona watwaa ubingwa wa 28 wa La Liga