Vicha vya habari:
Mamlaka ya Palestina inasema kuwa karibu watu 330 wamekufa kufuatia kizuizi cha siku 80 cha Israeli.
Bunge la Uganda lilipitisha sheria inayoruhusu mahakama za kijeshi kuwahukumu raia.
Ujasusi wa Marekani umepata taarifa mpya kwamba Israeli inajiandaa kufanya shambulio la kijeshi kwenye vituo vya nyuklia vya Iran.
Wahamiaji wawili wa Kiasia wamehamishwa hadi Sudan Kusini.
“Türkiye na Marekani wanasema wanazidisha ushirikiano katika kuleta utulivu wa Syria.
Trump amezindua rasmi programu ya “Golden Dome” ya ulinzi wa makombora.