Opinion
Papa Francis avunja utamaduni wa kuzikwa katika majeneza matatu
Desturi ya Kanisa Katoliki imehusisha kumzika Papa katika majeneza matatu, lakini Papa Francis alibadilisha utaratibu huo na kuchagua kuzikwa katika jeneza moja tu.Desturi ya Kanisa Katoliki imehusisha kumzika Papa katika majeneza matatu, lakini Papa Francis alibadilisha utaratibu huo na kuchagua kuzikwa katika jeneza moja tu.