Opinion
Tetemeko Myanmar laharibu maeneo ya kale
Tetemeko lenye ukubwa 7.7 katika kipimo cha Richter lililopiga Myanmar wiki iliyopita, na kuuwa zaidi ya watu 3,000 limesababisha hasara kubwa katika eneo la kihistoria na maeneo ya ibada ikiwemo mji wa kale wa Ava.Tetemeko lenye ukubwa 7.7 katika kipimo cha Richter lililopiga Myanmar wiki iliyopita, na kuuwa zaidi ya watu 3,000 limesababisha hasara kubwa katika eneo la kihistoria na maeneo ya ibada ikiwemo mji wa kale wa Ava.