Topic - Small Live Coverage
Opinion
Mawigi yapigwa marufuku katika mashindano ya urembo Côte d'Ivoire
Waandaji wa mashindano ya Miss Côte d'Ivoire wamepiga marufuku washiriki kuvaa mawigi na kuongeza nywele za bandia ili kusisitiza "urembo asili wa Kiafrika'', jambo lililozua mjadala mkubwa.Waandaji wa mashindano ya Miss Côte d'Ivoire wamepiga marufuku washiriki kuvaa mawigi na kuongeza nywele za bandia ili kusisitiza "urembo asili wa Kiafrika'', jambo lililozua mjadala mkubwa.