20 Aprili 2025

Sherehe ya Pasaka: Mamilioni ya Wakristu duniani wanaadhimisha siku kuu ya pasaka.Sherehe ya Pasaka: Mamilioni ya Wakristu duniani wanaadhimisha siku kuu ya pasaka.
Wengi walikusanyika katika makanisa au viwanja vya kuabudu na wengine wamekesha katika kutimiza tamaduni zinazoambatana na maadhimisho ya kusulubiwa kwa Yesu Kristu na kufufuka kwake.Wengi walikusanyika katika makanisa au viwanja vya kuabudu na wengine wamekesha katika kutimiza tamaduni zinazoambatana na maadhimisho ya kusulubiwa kwa Yesu Kristu na kufufuka kwake.
CHANZO:TRT Afrika and agencies
Soma zaidi